iqna

IQNA

kawthar tv
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA)-Washindi wa toleo la 16 la Mashindano ya Kimataifa ya Quran ya Televisheni ya Al-Kawthar TV wametangazwa jana usiku ambapo Qari wa Afghanistan ameibuka mshindi..
Habari ID: 3476898    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/21

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Duru ya 16 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Kanali ya Televisheni ya Al-Kawthar yameanza leo Jumatano jioni.
Habari ID: 3476742    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/22